Gab Van August

ENTERTAINMENT UPDATER

Friday, January 14, 2011

JK apokea ujumbe toka kwa KibakiMjumbe maalum wa Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Mhe.Robinson Njeru Githae akimkabidhi RaisDr.Jakaya Mrisho Kikwete ujumbe kutoka kwa Rais Kibaki ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Bwana Githae ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya jiji la Nairobi aliambatana na maofisa waandamizi kutoka ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Picha na mdau Freddy Maro.Mjumbe maalum wa Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Mhe.Robinson Njeru Githae akimkabidhi RaisDr.Jakaya Mrisho Kikwete ujumbe kutoka kwa Rais Kibaki ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Bwana Githae ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya jiji la Nairobi aliambatana na maofisa waandamizi kutoka ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Picha na mdau Freddy Maro.

Mjumbe maalum wa Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Mhe.Robinson Njeru Githae akimkabidhi RaisDr.Jakaya Mrisho Kikwete ujumbe kutoka kwa Rais Kibaki ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Bwana Githae ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya jiji la Nairobi aliambatana na maofisa waandamizi kutoka ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Picha na mdau Freddy Maro.
Gab Van August at 5:36 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Gab Van August
DREAMING IS BELIEVING SEEING IS DECEIVING
View my complete profile
Powered by Blogger. Report Abuse.